KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
hahahahahah MMU ndo kuna vichwa.Sasa mbona uzi upo jukwaa la MMU au mimi ndio sielewi
MMUSasa mbona uzi upo jukwaa la MMU au mimi ndio sielewi
Sasa Business partner na mapenzi wapi na wapi?MMU
Mahusiano,Mapenzi, Urafiki
Hujaelewa nn
Shem na huku upohahahahahah MMU ndo kuna vichwa.
teh teh
Shem na huku upohahahahahah MMU ndo kuna vichwa.
teh teh
Nimepita tu shemShem na huku upo
3 uwe active member wa jf na awe anacomments zisizopungua mia
Nimepita tu shem
Nikajua umeona hii fursa unataka uwe mshirikaNimepita tu shem
Hapana shem[emoji12]Nikajua umeona hii fursa unataka uwe mshirika
[HASHTAG]#Missnatafuta[/HASHTAG] Mimi. Picha yako yazamani tu. Natamani iwepo kwa profile dear..BIASHARA GANI MAANA HATA NGONO NAYO BIASHARA
Haijajitosheleza hii mkuu jaribu kureview tena na ufanye malekebisho kama upo serious kweli maanaNinachoamini ukiwa karibu na watu wenye Changamoto,naamini na wewe utapata changamoto na kujijenga ubaadae wako ila ukikaa kwa wapenda starehe nawe utapenda starehe sana
Sina chochote cha kujivunia by now but i hop baadae kuwa the richest in Tanzania if God wishes, binafsi nina miaka 24
Conditions
1 uwe na upeo wa kufikiri vizuri
2 uwe na mipango ambayo ushaanza kuifanyia kazi
3 uwe active member wa jf na awe anacomments zisizopungua mia
4 uwe settled na usiwe ombaomba, maana the thing ni kujiendeleza sio kusaidiana kuishi
5 itakuwa cool kama umetembea miji mingi apa bongo au nje
Note: siangalii uzuri na ingekuwa cool kama kukiwa na wanawake pia
sawa shem wa nguvuHapana shem[emoji12]