Natafuta fundi wa laptop na computer Arusha

Natafuta fundi wa laptop na computer Arusha

joseeY

Senior Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
108
Reaction score
17
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natafuta fundi wa laptop aliyeko Arusha. Laptop yangu inaunguruma sana ninapoiwasha pia baadhi ya button hazifanyi kazi. Kwa yeyote mwenye utaalamu naomba anipm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaitwa teacher wa mateacher ni fundi mkongwe wa laptops na desktops anapatikana jirani na kanisa Katoliki la father babu,mpigie 0767011109.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom