Natafuta Fundi wa kunlock icloud

Natafuta Fundi wa kunlock icloud

Disuma

Member
Joined
May 23, 2014
Posts
62
Reaction score
19
Habari wakubwa. Kunamtu yeyote anamfahamu fundi anayeweza kunlock vifaa vya apple(iphone, ipad etc) vyenye icloud lock? Tufaamishane tafadhali.
 
Huwezi ku unlock vifaa vya apple siku hizi, hizo tupa tu!
 
Kama ulinunua kwenye apple store original...waandikie email...na infact,ukinunua kitu apple store lazima risiti wakutumie kwa email,zitafute hizo emails uangalie serial nambaz ya hizo items say ipad,laptop au iphone...then watumie,wataverify kua wewe ndio actual user na wata open remotely....kama mizigo ulinunua kienyeji mzee itakua kazi ngumu saaana.
 
Hiyo haiwezekani mkuu, na ikiwezekana sio leo wala kesho kwa sababu kila siku wakiupdate ios yao huwa wanazidi kuweka ulizi wa hiZo simu!
 
Habari wakubwa.Kunamtu yeyote anamfahamu fundi anayeweza kunlock vifaa vya apple(iphone, ipad etc) vyenye icloud lock? Tufaamishane tafadhali

Fund wa ku unlock iphone wamejaaa kibao. Ila hakuna fund yoyote wa kutoa icloud iliyowekwa na mtu. Kama ina icloud haitatolewa daima
 
Habari wakubwa.Kunamtu yeyote anamfahamu fundi anayeweza kunlock vifaa vya apple(iphone, ipad etc) vyenye icloud lock? Tufaamishane tafadhali
Fundi wa kuUnlock iCloud ya hizo device zako ni mmoja tu (dunia nzima), mmiliki wa mwisho alieweka hizo iCloud Account. Kama unamfahamu mtafute akutolee bure..
 
Back
Top Bottom