Natafuta Fundi wa Kitchen Worktop/Mable/Granite

Natafuta Fundi wa Kitchen Worktop/Mable/Granite

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
57,825
Reaction score
129,723
Natafuta fundi anaekata worktop/mable na kuweka sink,cooker(plates) jikoni. Worktop zipo nahitaji aje akate na kufanya fitting tu.

Fundi anaeweza hii kazi anipe aje pm.
 
Duh bila bila! Ngoja niendelee na mafundi wa kitaa!
 
FB kuna page ya UJENZI ZONE! Jaribu pale kuna mafundi wazuri tu.
 
FB kuna page ya UJENZI ZONE! Jaribu pale kuna mafundi wazuri tu.
Kuna fundi alinipa quotation nikaona iko juu so nilitaka nipate humu nilinganishe. Baada ya kupata no response nimempa go ahead. Thanks for your reply
 
Back
Top Bottom