Natafuta Fundi wa HP Laptop

Chakufanya hapo ni kuifungua na kupuliza vumbi,ksha chomoa na kuchomeka mkanda wa keyboard.
Nimerudi, Alke, but thta was new from the mall in California, vumvi ilitoka wapi? Nitafanya kama ulivyonishauri ila nataka nikuongezee more information
 
Naona mafundi kwenye huu uzi wameadimika... au kv nimepiga biti kwamba nahitaji mafundi serious na sio mtu anajifanya fundi kumbe kamaliza kikozi cha wiki 2 somewhere around Magomeni!!!
 
mkuu embu jaribu kufanya yafuatayo, toa betri nje , then connect na chaji, ...jaribu kuwasha......

ikigoma chomoa na Ram, ione kama itawaka na kutoa sound hapo utaweza jua tatizo na mwisho kabisa, fungua na jaribu kupima moto kwenye power kama unatoka au mwisho kabisa inawezekana disk ikawa imecorrupt....

kama hautafanikiwa kabisa njoo inbox(PM)
 
aliekua na tatizo na laptop yake aje nayo ofcn magomeni 0712212220
 
Malisa, heri ya mwaka mpya. Nimepata model ya laptop yangu.DFNC-H1 (HII NI DEL LAPTOP)
 
Natafuta motherbody ya hp probook 450 g2 i5, iwe nzima inapiga kaz vzr sio nije tujarb mara ooh sijui imeenda ikashuka ,mawasiliano n 0717606641, au kwa anayejua fund wa uhakika wa laptop aniinbox no yake
 
Nanunua spea za laptop kwa bei nzuri..
 
Mkuu me pc yangu toshiba satelite c850-b839 shida yake inawaka vizuri ila ikianza kuload kuelekea kwenye welcome screen inazima ghafla. Na ikifanikiwa kuwaka nikifungua tu apps inazima ghafla. Naitumia bila bettery ilishakufa je inaweza ikawa ndo shida. Me nahisi shida ni processor kwasababu inakoroma flani hivi kama kitu kinachemka. Kama ndo shida hiyo naweza kubadili kwa kuupgrade sababu hii pc inatumika mara nyingi apa nyumbani kwa kuchezea game. W10
Poa poa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…