Wadau, simu yangu; Microsoft Lumia 650 upande wa juu wa screen haufanyi kazi. Nilienda Sapna wakaniambia tatizo lake itakuwa ni kioo chake (screen ) lkn hawana. Nimejaribu kuzunguka maduka kadhaa lkn imeshindikana kupata screen yake.
Kuna mtu anaweza kunifahamisha wapi naweza kupata screen ya Microsoft Lumia?