Natafuta Fundi Simu wa Microsoft Lumia

Vyamavingi

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,737
5,438
Wadau, simu yangu; Microsoft Lumia 650 upande wa juu wa screen haufanyi kazi. Nilienda Sapna wakaniambia tatizo lake itakuwa ni kioo chake (screen ) lkn hawana. Nimejaribu kuzunguka maduka kadhaa lkn imeshindikana kupata screen yake.

Kuna mtu anaweza kunifahamisha wapi naweza kupata screen ya Microsoft Lumia?

Vv
 
Fanya mpango uagize online kioo cha hio simu kwa sababu nahisi walitoa kwa majaribio hilo toleo tofauti na lumia 950
 
touch za lumia almost zote zipo aggrey, sema za kichina simu yako haitakuwa kama mwanzo, unless uagizie online.

nenda aggrey ule mtaa wenye simu nyingi ulizia kwa victor au kwa rich asilimia kubwa utavipata.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom