Natafuta Fundi mzuri wa Lexus RX300 ya 2009

Ozzie

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2007
Posts
3,217
Reaction score
1,273
Wakuu natafuta fundi mzuri wa Lexus RX300 kama yupo jijini Dar es Salaam. Dashboard imewaka ghafla taa za VSC (Vehicle Stability Control) na Check Engine. Nimefanya service Victoria filling station kubadirisha gearbox oil, engine oil na oil filters na vingine. Taa hizo zilizima kwa masaa kama 12; lakini zikawaka tena. Kama kuna fundi wa kuaminika unamfahamu tafadhali nisaidie ku ni PM namba yake.
 
MKUU nipo nitakupimia na mashine nakujua tatizo ni nini na kukutekebishia mm napatikana MWENGE
0717 228064
 
Wakuu natafuta fundi mzuri wa Lexus RX300 kama yupo jijini Dar es Salaam. Dashboard imewaka ghafla taa za VSC (Vehicle Stability Control) na Check Engine. Nimefanya service Victoria filling station kubadirisha gearbox oil, engine oil na oil filters na vingine. Taa hizo zilizima kwa masaa kama 12; lakini zikawaka tena. Kama kuna fundi wa kuaminika unamfahamu tafadhali nisaidie ku ni PM namba yake.
Mkuu wewe si upo south Africa? tafuta mafundi hukohuko au kuna Victoria filling station huko?
 
Back
Top Bottom