20km x 20kmsquare km 400.ni sawa ukubwa gani mkuu?
dah ana jimbo kabisa haha20km x 20km
Mwee! Hivi weye ulisoma kweli juu ya vipimo vya metric? 20km X 20km ni sawa na nusu ya eneo la jiji la Nairobi.20km x 20km
Mwenye kiwanja ndo anadai kiwanja chake ni kilometer square 400Mwee! Hivi weye ulisoma kweli juu ya vipimo vya metric? 20km X 20km ni sawa na nusu ya eneo la jiji la Nairobi.
Atakuwa Donald wa Trump anayetaka kujenga ukuta wa kutenganisha US na Mexico.Hicho kiwanja kina urefu wa Dar to Moro nafikiri mkuu utakuwa na hela sana kwa kutaka kuweka ukuta uwanja huo
Atakuwa Donald wa Trump anayetaka kujenga ukuta wa kutenganisha US na Mexico.