Natafuta fundi mzuri wa kujenga ukuta Goba

MENISON

JF-Expert Member
Apr 26, 2013
726
622
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nina kiwanja cha square kilometer 400, nimeshazungusha ukuta upande mmoja bado pande tatu ni kama tofali elfu 2 kasoro hivi za nchi 5 na 6 jumla.
Nipeni gharama zake au fundi mzuri aende aone site then tuongee bei.
Contacts 0716282670.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpigie huyu jamaa. Yuko very cheap. Ananijengea ghorofa langu but ni kwa gharama nafuu sana. No zake ni 0716 566 157 au +255 789 800 714.
 
Hicho kiwanja kina urefu wa Dar to Moro nafikiri mkuu utakuwa na hela sana kwa kutaka kuweka ukuta uwanja huo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom