Natafuta fundi mzuri wa engine za Toyota CAMI

Mubii

Senior Member
Jul 24, 2008
152
28
Gari ikiwa kwenye silence haitulii na inakuwa inatingishika na ni kero kwenye foleni. Nimekuwa na mafundi watatu bila suluhu na naona hawajajua kiini. Nimebadili plug, nimenunua radiator,feni imefungwa direct, exhaust imebadilishwa mara mbili lakini tatizo halijaisha.
 
mkuu Engine yako ni aina gani?taabu ya mafundi wa kibongo wanabahatisha,hawana uhakika na wanachokifanya!
 
Gari ikiwa kwenye silence haitulii na inakuwa inatingishika na ni kero kwenye foleni. Nimekuwa na mafundi watatu bila suluhu na naona hawajajua kiini. Nimebadili plug, nimenunua radiator,feni imefungwa direct, exhaust imebadilishwa mara mbili lakini tatizo halijaisha.

Kuna fundi mzuri pale Mwananyamala A barabara ya kuelekea hospital ukitokea Mwinjuma Road. Kabla hujafika kituo cha daladala cha hospital, upande wa kulia. 0713291954 Anaitwa Athman. Ukifanikiwa ni PM
 
kuna fundi mzuri pale mwananyamala a barabara ya kuelekea hospital ukitokea mwinjuma road. Kabla hujafika kituo cha daladala cha hospital, upande wa kulia. 0713291954 anaitwa athman. Ukifanikiwa ni pm

aku pm ukachukue ten percent??
Haya kuna huyu mzuri anatengeneza magari mengi ya toyota habatishi alisomeshwa na kampuni ya toyota akawakimbia baada ya kuona wanamtumia kuliko anachopata pale ofisi za toyota
tel 0713 450 248
akikufanikishe usini pm we peleka kanisani ama msikitini
shukrani
 
Nachukia ufisadi

aku pm ukachukue ten percent??
Haya kuna huyu mzuri anatengeneza magari mengi ya toyota habatishi alisomeshwa na kampuni ya toyota akawakimbia baada ya kuona wanamtumia kuliko anachopata pale ofisi za toyota
tel 0713 450 248
akikufanikishe usini pm we peleka kanisani ama msikitini
shukrani
 
Gari ikiwa kwenye silence haitulii na inakuwa inatingishika na ni kero kwenye foleni. Nimekuwa na mafundi watatu bila suluhu na naona hawajajua kiini. Nimebadili plug, nimenunua radiator,feni imefungwa direct, exhaust imebadilishwa mara mbili lakini tatizo halijaisha.
Mkuu kwani ww uko wapi? hapa nachingwea kuna fundi mmoja matata sana..yeye ndio alikuwa anatengeneza magari ya ikulu enzi za mwalimu! walimzika mafao yake sasa ndio kajiajiri kwa kufungua kigereji chake hapa, ila ni mtaalamu haswa!....+255716558963
ukifanikiwa utujuze hapa jamvini.
 
nachukia ufisadi

mwaya mie naupenda ati basi ndogo ndogo sipendi napenda zile za mkupuo mwaaaaaaaaaaa
hizi za mafundi mpaka akazipeleke kwa mkewe aseme wewe ndapi aku ..mara aje unajua umeme umepanda zamani nilikuwa napata unit 100 kwa 20,000 leo 70 so na wewe 10,000 ukajazie loh
tuko pamoja kaka ila kwenye mpenyo penya mwaya maisha hapa hapa duniani
 
mkuu kwani ww uko wapi? Hapa nachingwea kuna fundi mmoja matata sana..yeye ndio alikuwa anatengeneza magari ya ikulu enzi za mwalimu! Walimzika mafao yake sasa ndio kajiajiri kwa kufungua kigereji chake hapa, ila ni mtaalamu haswa!....+255716558963
ukifanikiwa utujuze hapa jamvini.

kwa hiyo kuzikwa mafao na yeye aanze kutuchomolea spea zetu kujilipa malimbikizo sio kazi ipo??
 
Piga 0715360762 - anaitwa Bw Sylvester, aka bingwa. Ni bingwa wa kutengezeza magari aina zote.
 
Back
Top Bottom