Shazili mnali
JF-Expert Member
- Mar 25, 2023
- 359
- 569
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu ninapota kufanyia biashara hakuna umeme hivyo natafuta friji za sola zinazo tumia umeme wa jua kwa aliyo nayo au anaejua zinapo patikana.
poa mkuuNachukua Nafasi Hii Kungoja Miongozo Toka Kwa Members