Natafuta fremu mafinga-iringa

Natafuta fremu mafinga-iringa

wiseboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
2,930
Reaction score
3,314
...jaman naomba mwenye uwezo wa kunîsaidia kupata fremu eneo la mafinga anipe support plz.... Fremu ikipatikana barabara ya kuingia stand, mbele au nyuma ya c.c.m nitafurahi sana, watu wa mafinga m-nipe pm kama inapatikana
 
Hii nayo ni thread? Huwezi kwenda ongea na wenye frame hadi watu JF wakusaidie?
 
Back
Top Bottom