Natafuta frem ya duka la dawa dsm

Masika

JF-Expert Member
Sep 18, 2009
723
30
Mambo vp wadau,
baada ya pilika pilika za siku kuu nafikiri ni muda wa kuweka na kuanza mipango ya maendeleo mapema!
Nahitaji frem kwa ajili ya duka la dawa
muhimu:-
1: Iwe na mlango wa mbele wa kioo(aluminium)
2:iwe na ukubwa usiopungua mita 8 kwa 4 (urefu na upana)
3:isiwe karibu na baa/hoteli au duka jingine angalau kwa mita 100 kila upande
4:iwe eneo la makazi ya watu wengi maana ndo lengo langu kutoa huduma hiyo
5:kama ni karibu na maabara au kituo cha afya itakua faida zaidi
6:iwe sehemu yoyote hapa dsm inayofikika kwa gari
7:bajeti yangu ni kuanzia tsh 10000 mpaka 200,000x 6 au x 12 au tutakavyokubaliana

mawasiliano
1-pm au sms via jf
2-mobile 0756727175
 
Ninachojua ni kwamba huwezi kupata chumba ambacho tayari kipo namna hiyo!
Utalazimika kuweka fedha(mtaji) ili kukifikisha kwenye mahitaji ya duka la dawa (muhimu) lililo standard.
Ishu kama ya mlango wa mbele kuwa WA aluminium ni sharti ambalo unaweza kulitekeleza mwenyewe kwa makubaliano ya kodi.
Masharti mengineyo ni ngumu kidogo kuyatekeleza...lakini hapo uliposema mita 100 toka duka lingine mimi najua ni mita 300.

Nakutakia mafanikio mema...kumbuka feni, chumba cha storage, na muuzaji aliyehudhuria semina za tfda!
 
kaka pjimmy, asante kwa maelezo yako neno 'muhimu'halijamaanisha 'duka la dawa muhimu' ila mambo muhimu/sifa za fremu yenyewe,duka la dawa muhimu si kila eneo dsm bali ni katika maeneo yenye hadhi ya kijiji mimi nahitaji duka la dawa(pharmacy) kaka
na kuhusu mlango ni kwamba ziko frem nyingi tu zina hiyo milango mfano mtu alikua anatumia kama saluni au mobile pesa nk
asante anyway
 
Na ukipata nijulishe kuna Nesy anayekufaa nikuunganishe naye apige kazi, sifa: amepitishwa na TFDA.
 
Na ukipata nijulishe kuna Nesy anayekufaa nikuunganishe naye apige kazi, sifa: amepitishwa na TFDA.

Usikonde mkuu,kama anajua kazi/mzoefu wa madawa mpe namba yangu anitafute nina ofisi tegeta inatafuta nurse maana kuna mmoja kanipa notice anataka kuolewa na kuhama dar kabla ya jan 15 hivyo ni vyema angekuja na kuzoea mazingira mapema
asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom