Natafuta frem ya biashara Dubai

Natafuta frem ya biashara Dubai

jembelamkono

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
2,733
Reaction score
2,020
Wakuu natafuta kaeneo kadogo(square mtrs chache) sana kwa ajili ya kudisplay bidhaa zangu.

Eneo liwe na pilika pilika za kutosha na frem/kichochoro kiwe groundfloor

Mwenye connection na yeyote anitaarifu tafadhali.
 
Nenda kule Dubai kuna madalali wengi tu
 
Mkuu una maana Dubai kama moja ya mitaa ya kariakoo...au Dubai kama ilivyo Dubai yenyewe...???
 
Ipo mkuu,mtaa wa sheikh Lakhtikh,square mita 25,$15,000 kwa mwezi,kama upo tayari nicheki nikupe details zote za hiyo frem,ina nyaraka zote za serikali
 
Dubai kama ilivyo falme za kiarabu mkuu@KikulachoChako
 
Ipo mkuu,mtaa wa sheikh Lakhtikh,square mita 25,$15,000 kwa mwezi,kama upo tayari nicheki nikupe details zote za hiyo frem,ina nyaraka zote za serikali
Mkuu,u mean $ 600 kwa sqmtr,bei iko juu kidogo,imezidi international rates.
 
Baba,hiyo ni Dubai baba,hata Obama anakuja kula bata kimiya kimiya,ndio bei yake hyo mkuu,na hyo place ukiinvest pesa yako ndani ya miezi 6 lazima irudi,pana biashara sana
 
Baba,hiyo ni Dubai baba,hata Obama anakuja kula bata kimiya kimiya,ndio bei yake hyo mkuu,na hyo place ukiinvest pesa yako ndani ya miezi 6 lazima irudi,pana biashara sana
Ni pm namba yako,tunaeza ongea jambo boss.
 
Back
Top Bottom