Kizamani
JF-Expert Member
- Sep 12, 2011
- 418
- 108
Habari wanaJF nawapenda sana.
Tukiwa kama watu tunaosaidiana katika mawazo mengi ya kujengana, mimi mdogo wenu na wengine kaka yenu nina ombi kwenu, natafuta framu ya biashara ambayo nitaweza kupata vijisenti vya kumtunza dada yenu Lara1 kwani karibu nampata.
Sehemu ambayo ningefurahi sana kama ningepata ni Sinza: Mori, kwa Remmy, Palestina, makaburini, mpaka maeneo ya shekilango. Africa sana labda pale karibu na junction. Sehemu ya pili ni maeneo ya mwenge. Iwe sehemu iliyokaa kibiashara an yenye watu wengi wanaopita. Bajeti yangu ni iwe kuanzia 250,000/= mpaka 400,000/= hivi ila hata kama utapta ya juu kama mwenge niko tayari.
Najua wawezajua mtu anayeachia frame au frame mpya, niunganishe ili upate mshiko chapchapu. Hili dau linaweza panda kutokana na framu yenyewe.
Naomba uniPM kama unajua then tuanze mawasiliano.
Jamani, mkinisaidia kupata hii nawambieni Lara1 hachomoi. Niko serious. Hilo dau halina longolongo, i get the framme, you get the cash."You screw my back, i screw yours".