Natafuta sehemu ya kuweka biashara

Zamazamani

JF-Expert Member
Jun 13, 2008
1,859
763
wadau
natafuta sehemu yenye ukubwa wa wastani ili niweze kuweka biashara yangu ya showroom ya fenicha za kisasa zinazotengenezwa na mbao ngumu za nchini na nchi jirani..kwa sasa sehemu niliyopo imeshakuwa ndogo..ikiwezekana na karakana nitaweka hapohapo;maeneo preferable ni msasani,namanga,knyama,kinondoni na mwenge ....offer yangu ya bei ni kati ya laki 400 na 600 kwa mwezi....sehemu nyingine zaweza kufikiriwa vilevile
kama vipi ni pm au call me at 0788 502757

mdau wa happyhomes enterprises
 
Kama hizo ndizo bei za kodi Dar, mtakuwa na raha sana. Arusha, kilemba si chini ya 5 million, kodi 4Mx6M si chini ya 600,000. Wewe unataka nafasi ya kutosha show room kwa 400,000? au ni eneo la wazi unazungumzia?
 
KAKA,
Show room ni ndogo tu,kama display ya vitu vichache ...ila sehemu kubwa ni uwazi ambao nitajuwa cha kufanyia hayo mambo yangu ya karakana
 
natafuta sehemu yenye ukubwa wa wastani

Ukubwa wa "wastani" ndio nini yakhe? Halafu tunalalamika Wakenya wanatushinda. Mara nyingi wafanyabiashara wa Tanzania wako half-literate. Angalia almost kila tangazo linalowekwa humu lilivyo.
 
wadau
natafuta sehemu yenye ukubwa wa wastani ili niweze kuweka biashara yangu ya showroom ya fenicha za kisasa zinazotengenezwa na mbao ngumu za nchini na nchi jirani..kwa sasa sehemu niliyopo imeshakuwa ndogo..ikiwezekana na karakana nitaweka hapohapo;maeneo preferable ni msasani,namanga,knyama,kinondoni na mwenge ....offer yangu ya bei ni kati ya laki 400 na 600 kwa mwezi....sehemu nyingine zaweza kufikiriwa vilevile
kama vipi ni pm au call me at 0788 502757

mdau wa happyhomes enterprises

hii ndio bei gani?? 40,000,000 i.e laki 400=100,000x400=40,000,000 kwa bei hio hutakosa sehemu ya kupangisha.......
 
hii ndio bei gani?? 40,000,000 i.e laki 400=100,000x400=40,000,000 kwa bei hio hutakosa sehemu ya kupangisha.......
Sorry...ni kati ya laki 4 na 6....zaidi ya hapo tunaweza kuona eneo na kuongea vilevile...Ahsante kwa kudodosa
 
Back
Top Bottom