M Mizega Senior Member Joined Feb 10, 2021 Posts 161 Reaction score 337 May 17, 2025 #1 Kama inavyotajwa hapo juu, ninahitaji frem ya biashara mabibo sokoni kwa ajili ya biashara ya nafaka, hata nje ya sokoni pembeni mwa barabara fresh. Kama unayo njoo na ofa yako inbox. Salaam
Kama inavyotajwa hapo juu, ninahitaji frem ya biashara mabibo sokoni kwa ajili ya biashara ya nafaka, hata nje ya sokoni pembeni mwa barabara fresh. Kama unayo njoo na ofa yako inbox. Salaam