Natafuta frame ya car wash ama open space nzuri Arusha

4rever young

Senior Member
Jul 26, 2019
136
125
Habari ndugu!!!

Mm ni kijana nilieamua kuingia katika ujasiriamali na kwasasa natafuta sehemu ambapo nitaweza kufungua car wash yangu au open space nzur tu kwa ajili ya kujenga biashara hio,, SEHEMU NILIYOITAKA NI ARUSHA,,

kikubwa liwe eneo ambalo lipo pembezon mwa barabara
 
Arusha car wash nyingi na nyingine zimefungwa haha haha nenda dom kipindi cha bunge utapiga pesa. Jaribu lkn upate zile gari za tours na hizo coaster,
 
Arusha car wash nyingi na nyingine zimefungwa haha haha nenda dom kipindi cha bunge utapiga pesa. Jaribu lkn upate zile gari za tours na hizo coaster,
Naomba unielekeze hizo ambazo zimefungwa boss wangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom