House4Rent Natafuta frame maeneo ya Dar

PITCOL

Senior Member
Aug 8, 2017
128
66
Habari JF,

Natafuta frame maeneo ya Dar sehemu iliyo changamka. Nataka kutoa huduma ya ketengeneza kompyuta na kutengeneza simu. Mwenye nayo au mwenye ambaye anajua mtu mwenye frame tafadhari nisidie apo.

Ahsante.
 
maneo gani unaitaji?
 
Unaposema kuchangamka hebu jaribu angalao kutaja eneo unalofikiria
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom