Naomba mwenye kufahamu hivi viti (folding alminium chairs, na vile ambavyo ni unfolding) vinauzwa sehemu / duka gani hapa dar anielekeze. Nitashukuru pia nikifahamu bei zake in advance.
Kati ya sample ulizoweka hakuna folding chair hata moja; au ni mfano 2. Maduka yote makubwa ya Furniture wanauza folding chairs unazosema-humu JF sidhani kama huwa wanatembelea sana, au unaomba wanaJF wakuulizie bei?