Natafuta Fish finder

Natafuta Fish finder

dangadunguri

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
1,276
Reaction score
1,309
Waungwana poleni kwa michakato yakimaisha. Subject iko wazi kabisa natafuta fish finder kwa mwenye information anisaidie.

Anisaidie aina zake, soecification zake na bei zake. Zikiwa mpya na used. Je zinapatikana kwa hapa dam/znz?

Shukrani kwa watakao weza kutoa taarifa zake.
 
Back
Top Bottom