Mkimbizi99
Senior Member
- Jul 18, 2020
- 103
- 142
Habari zenu wapendwa,
Mimi ni mwanafunzi nasomea BSc in Economics, nimetafuta sehemu za kufanya field hadi nimechoka, naombeni mnisaidie kwa ushauri ni wapi naweza kwenda na nikapata nafasi ninaishi Dar es Salaam.