Natafuta familia kupitia mtandao huu

kwa jina naitwa malamia
kabila langu mchaga
umri wangu miaka 35
mchapakazi sana
elimu ya chuo
sijawai kuolewa
sijawai kuzaa
naishi dodoma ila mwakani nitahamia dsm nimeajiriwa
dini mkristo
sinywi pombe
natafuta mwanaume mtu mzima anaejielewa kwa mahusiano ya moja kwa moja .
awe mtu mzima sana miaka 40 mpaka 60
email
nyotanjema2017@gmail.com
Njoo inbox kwa maongezi zaidi
 
Mpaka leo haujafanikiwa mama pole mme wa kweli hatafutwi mitandaoni rudi kanisani uanze kuimba kwaya simple tu utampata mwamiñifu
 
kwa jina naitwa malamia
kabila langu mchaga
umri wangu miaka 35
mchapakazi sana
elimu ya chuo
sijawai kuolewa
sijawai kuzaa
naishi dodoma ila mwakani nitahamia dsm nimeajiriwa
dini mkristo
sinywi pombe
natafuta mwanaume mtu mzima anaejielewa kwa mahusiano ya moja kwa moja .
awe mtu mzima sana miaka 40 mpaka 60
email
nyotanjema2017@gmail.com
Wewe miaka 35 hujaolewa, ulikuwa wapi. Nyie ndio mlikuwa na maringo sasa umekuwa kibibi g. Ndugu yangu unaonekana unashida sana maana umetanga kwa kila namna. Utapigwa sana na hutaambulia unachotaka. Acha njaa ya mume. Jiamini wangapi wapo single na maisha yanaenda. Utakuwa wa kudanganywa hadi ukonde. Wapo mabinti wadogo 18 - 26 hatari. Huwezi kushindana nao. umechelewa tumia njia nyingine. Zaa mtoto mmoja tu uendelee na mais sha yako. Mshahara wa maringo ni huo.
 
kwa jina naitwa malamia
kabila langu mchaga
umri wangu miaka 35
mchapakazi sana
elimu ya chuo
sijawai kuolewa
sijawai kuzaa
naishi dodoma ila mwakani nitahamia dsm nimeajiriwa
dini mkristo
sinywi pombe
natafuta mwanaume mtu mzima anaejielewa kwa mahusiano ya moja kwa moja .
awe mtu mzima sana miaka 40 mpaka 60
email
nyotanjema2017@gmail.com
Dodoma sehemu gani kama vip nkutafute
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom