Z ze meck Member Joined Feb 18, 2014 Posts 36 Reaction score 6 Nov 21, 2018 #1 Nataka kujua jinsi ya kupitisha mzigo kutoka Nairobi kuja Tz Kwa njia ya bus.. Coz nafikiria kufata mzigo kutoka Nairobi kuja mwanza-tz natamani kidogo nikipata experience kutoka Kwan wazoefu... Ili muda wa kufata mzigo nifahamu at least" A"
Nataka kujua jinsi ya kupitisha mzigo kutoka Nairobi kuja Tz Kwa njia ya bus.. Coz nafikiria kufata mzigo kutoka Nairobi kuja mwanza-tz natamani kidogo nikipata experience kutoka Kwan wazoefu... Ili muda wa kufata mzigo nifahamu at least" A"