Natafuta English Medium Primary School ( BOARDING) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta English Medium Primary School ( BOARDING)

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Varbo, Sep 8, 2012.

 1. Varbo

  Varbo JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 14, 2012
  Messages: 1,027
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Wana JF napenda kuomba msaada wenu kwa shule nzuri ya primary kwa mtoto wa std 2 (2013)
  Ambayo inautaratibu mzuri na watoto wanasoma na kuishi bila bugudha!!Shule iwepo nje kidogo ya jiji yaani Dar
  isiwe yenye ada ya juu sana walau 1500000/= per year!! Shule anayosoma sasa kila aada ya miezi mitatu mtoto anarudi nyumbani likizo ya mwezi mmoja sasa huo utaratibu siupendi!!
  Naomba msaada wenu
   
 2. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  duuh !! Iyo Pesa Yote unalipa kwa mwanafunzi wa primarY !? Why usimpeleke shule Ya kawaida coz mwisho wa siku ufaulu wa mwanafunzi unategemea juhudi na Nature zake binafsi na siYo shule anayosoma so cha msingi mtafutie shule Ya kawaida na sio shule ya Pesa zote Hizo !!
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,367
  Likes Received: 7,008
  Trophy Points: 280
  Nenda Mount Moria pale Mbezi Kibanda cha Mkaa, nadhani wao wapo wazuri, kwa maana jamaa zange wengi wamewatoa watoto wao Tusiime na St marys na kuwapeleka pale
   
 4. Osaka

  Osaka JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 1,766
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mkuu, Ntonga anatafuta shule - English Medium Primary School isiwe zaidi ya kiasi alichotaja. Kwamba ni pesa nyingi siyo issue kwake! Mkuu Ntonga shule ziko nyingi nzuri labda tu kwa kuwa unataka iwe nje kidogo ya Dsm so nadhani utasaidiwa na wana jamvi.
   
 5. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  ngoja wakubwa waje wamshauri hata kama ni milion 1 hIyo pesa bado nyingi mno
   
 6. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,813
  Likes Received: 2,586
  Trophy Points: 280
  Wahenga walisema if you think Education is expensive try ignorance ujione!
   
Loading...