PistolGang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 392
- 44
Habari zenu ndugu?
Husika na heading hapo juu. Natafuta engine ya gari aina ya Toyota Cami ya mwaka 1999/2000 inafanana pia na Daihatsu Terios Kid 1.3cc.
Zingatia mwaka wa gari, na engine ni ile yenye 16Valve Daihatsu.
Kama unayo, napatikana whatsapp 0623256767
Nitumie picha nambie na bei yako, ikiwa complete au mswaki.
Nawasilisha.
Mfano wake...