Natafuta engine ya freelander 2 2004

Natafuta engine ya freelander 2 2004

cheguevara

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
1,348
Reaction score
653
Nahitaji engine ya freelander 2.1,8ltrs, Manual Transmision, 4 cylinder ya 2004. Mwenye kufahamu upatikanaji wake anipe namba yake!
 
Freelander spea zake ni issue kidogo hasa ukizingatia mzunguko wake sokoni kwa hapa kwetu halina miaka mingi sana ila kuna modification unaweza kufanya ukatumia ya RAV4
 
Unayotumia inashida gan mkuu?

ilikata timing belt sasa gharama ya kuitengeneza imekuwa kubwa inagonga tapeti na kuchanganya oil na maji kila fundi anakuja na wazo la kununua spare tu wanashindwa kurekebisha matokeo yake wanarudisha hela za spare sasa nimechoka nataka mpya
 
Cheki pm wasiliana na hao jamaa.
 
Da sina wazo zaidi ya kukushaur uweke ya rav4 kwa sababu spare zake nyingi hata inapotokea imeharibika tena.ukinunua ya freelander itakuja tena kubuma zen upate shida kama unazopata sasa
 
Back
Top Bottom