Natafuta Eneo/sehemu

DAVIES

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
516
Reaction score
90
habarini za majukumu wanajamvi
jamani nahitaji ushirikiano wenu pamoja na ushauri wenu kama kuna mtu anafahamu eneo ambalo linafaa kufungulia stationary kwa maeneo ya dar please naombeni mnishirikishe nategemea kuwa mjasiriamali jamani
na nahitaji mawazo yenu maana najua jamiiforum ni jungu kuu natanguliza na shukrani zangu kwa wote wenye mawazo ya kujenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…