Natafuta eneo la internship and volunteering.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta eneo la internship and volunteering....

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by nziriye, Mar 10, 2011.

 1. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Wapendwa natafuta eneo linalohusika na maswala ya mazingira,maliasili,wanyamapori au misitu, ili nifanye either interniship au volunteering .,wajameni i will be happy and thankfull kwa wote mtakaonisaidia
   
 2. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,825
  Likes Received: 924
  Trophy Points: 280
  Nenda NEMC
   
 3. j

  johnmoney Member

  #3
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  njoo kwangu !!
   
 4. L

  Leornado JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Jiungeni na wenzio muanzishe ka mradi ka kutetea domestic animals. Muwe serious, nina uhakika itawatoa na mtakuwa mmesaidia sana katika hilo maana hawa wanyama pia ni mali asili na serikali imewasahau.
   
Loading...