Upo wapi? bajeti yako ni ngapi?. Jaribu kum PM Barraza, wakati fulani alikuwa nazo kwa laki na 80.
Kama hujuwi namna ya kumpata bonyeza link hii: https://www.jamiiforums.com/member.php?u=56823
Huyo barazza ajitokeze basi
Mkuu, agiza mwenyewe direct toka ebay, hata hivyo Dar hukosi hivi vitu hasa mitaa ya posta mpya kule zungukazunguka madukani utapata tu.
Nshazunguka sana bila bila
Nitakujibu tena muda wowote.
Nijibu tafadhali mkuu natafuta sana
Ngoja mie niendelee na homework zingine, jamaa hao hapo juu, nilikuambia huwezi kukosa vitu hivyo Dar!, lile somo la kujifunza ku-google lazima nikufundishe tu!
Salaam
Ninatafuta eBook reader device aina ya amazon kindle; anayejua inapopatikana, naomba anijuze
Asante
Ngoja mie niendelee na homework zingine, jamaa hao hapo juu, nilikuambia huwezi kukosa vitu hivyo Dar!, lile somo la kujifunza ku-google lazima nikufundishe tu!
Braza bado una kindle?Nipigie wakati wowote 0752 559802.Zipo used
na ni kama mpya zenye mikoba na zingine hazina.