ashomile
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,937
- 3,054
Nahitaji earphone za kampuni ya Samsung au niseme iliyokuja na brand new ya samsung msingi iwe used haswa kuanzia J5 prime,J7 ,Note 4 na kupanda juu dau langu elfu 20K kwa mwanza itapendeza sababu nina watu wangu wa karibu huko nitafute namba hii tuwasiliane