Natafuta drafti kama tunalocheza Tz la android.

Wamarekani draught wanaits checker. Ninalo moja king anaenda hatua mojamoja. Pia humo kuna la kirusi, kiingereza, kibrazil etc. Ila hakuna kama hili tunalocheza bongo. Hilo uliloliona liko kama tunalocheza bongo?
Unachozungumza hukijui. Hili mimi nacheza kila siku. Linahitaji settings tu na linakuwa kma la bongo
 
Naomba maelekezo jinsi ya kulipata na niseti vipi. Natanguliza shukrani.
 
Wamarekani draught wanaits checker. Ninalo moja king anaenda hatua mojamoja. Pia humo kuna la kirusi, kiingereza, kibrazil etc. Ila hakuna kama hili tunalocheza bongo. Hilo uliloliona liko kama tunalocheza bongo?
Set rules afu uweke kama za bongo.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…