MstahikiMeya JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 1,633 Reaction score 561 Oct 27, 2014 #1 Wakuu husikeni na kichwa cha habari hapo juu. Nina King'amuzi cha DSTV Ila sina dish, Hivyo nahitaji dish kwa mwenye nalo. Ningependa kujua na gharama zake. Kwa mwenye nalo tuwasiliane PM Asanteni.
Wakuu husikeni na kichwa cha habari hapo juu. Nina King'amuzi cha DSTV Ila sina dish, Hivyo nahitaji dish kwa mwenye nalo. Ningependa kujua na gharama zake. Kwa mwenye nalo tuwasiliane PM Asanteni.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,988 Reaction score 30,183 Oct 27, 2014 #2 MstahikiMeya mie nnalo taja bei hapa tuone kama waweza hamia pm Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
ibramadishi Member Joined Oct 1, 2014 Posts 44 Reaction score 13 Oct 27, 2014 #3 Ninalo bosss nina uza 50000
MstahikiMeya JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 1,633 Reaction score 561 Oct 27, 2014 Thread starter #4 Shark said: mie nnalo taja bei hapa tuone kama waweza hamia pm Click to expand... 30000 elf
MstahikiMeya JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 1,633 Reaction score 561 Oct 27, 2014 Thread starter #5 ibramadishi said: Ninalo bosss nina uza 50000 Click to expand... elf 30 tufanye biashara mkuu
A Akiri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,445 Reaction score 217 Oct 28, 2014 #6 mi ninalo la gtv unaweza tumia kwa king'amuzi cha aina yoyote lipo kinondoni shamba ntakuuzia 50,000 kama uko tayari nicheki nikuunganishe na dogo akuchukue 0657 14 5555
mi ninalo la gtv unaweza tumia kwa king'amuzi cha aina yoyote lipo kinondoni shamba ntakuuzia 50,000 kama uko tayari nicheki nikuunganishe na dogo akuchukue 0657 14 5555