Natafuta Dereva Dar es Salaam

Natafuta Dereva Dar es Salaam

Kiwengwa

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
1,103
Reaction score
24
Natafuta Dereva, Dar es salaam.
Awe anaishi Kawe, Mbezi au maeneo ya karibu na Mbezi Beach.

Awe na leseni ambayo ipo hai na awe mzoefu wa kuendesha gari kwenye jiji la Makonda.

Kazi ni ya udereva hapa ndani ya mkoa wa dar es salaam. Na ni wakumtoa bosi nyumbani na kumtembeza kwenye mishemishe zake za mjini na kumrudisha jioni.

Kuna wakati itabidi umrudishe boss usiku kwahiyo ni muhumu uwe na makazi ambayo sio mbali sana na Mbezi Beach.

Dereva wa gari ndogo tuu za usafiri.

Tutafutane.
 
NimekuPm mkuu
 
Dereva wa gari gani
Gari nyeupe ndogo ya kumtembeza boss kwenye miti kasi yake. Ni Toyota Corolla.

Wewe ungekuwa umetuma maombi ningekukata kabla hata ya kuingia kwenye interview. Mleta uzi kaweka maelezo ya kutosha.
 
Natafuta Dereva, Dar es salaam.
Awe anaishi Kawe, Mbezi au maeneo ya karibu na Mbezi Beach.

Awe na leseni ambayo ipo hai na awe mzoefu wa kuendesha gari kwenye jiji la Makonda.

Kazi ni ya udereva hapa ndani ya mkoa wa dar es salaam. Na ni wakumtoa bosi nyumbani na kumtembeza kwenye mishemishe zake za mjini na kumrudisha jioni.

Kuna wakati itabidi umrudishe boss usiku kwahiyo ni muhumu uwe na makazi ambayo sio mbali sana na Mbezi Beach.

Dereva wa gari ndogo tuu za usafiri.

Tutafutane.
kiongozi mi nipo tayari kufanya japo nakaa tabata mawasiliano 0657145555
 
Back
Top Bottom