Nilikuwa kijijini mwezi uliopita, nahisi maji ya kule yamenidhuru, nimepata kitu kinaitwa jock itch/fungus (angalia picha) (google).
Ni kama vipele vidogo vidogo vinavyowashwa wakati wa joto. Naomba msaada wa kujua tiba yake.
Ni kama vipele vidogo vidogo vinavyowashwa wakati wa joto. Naomba msaada wa kujua tiba yake.