Tella Mande JF-Expert Member Joined Jun 2, 2018 Posts 494 Reaction score 680 Nov 6, 2021 #1 Wana JF, Nina rafiki anasumbuliwa sana na ulevi na sigara na tayari vimemgharimu ajira yake na familia imeyumba sana. Familia yake wamejaribu maombi, rehabilitation nk lakini bado. Nasikia kuna dawa za mitishamba za kuacha pombe na sigara ila sijui wapi pa kuzipata. hizi za maduka ya kisuna hazikumsaidia hivyo hizo tuziache Anayejua msaada tafadhali. Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
Wana JF, Nina rafiki anasumbuliwa sana na ulevi na sigara na tayari vimemgharimu ajira yake na familia imeyumba sana. Familia yake wamejaribu maombi, rehabilitation nk lakini bado. Nasikia kuna dawa za mitishamba za kuacha pombe na sigara ila sijui wapi pa kuzipata. hizi za maduka ya kisuna hazikumsaidia hivyo hizo tuziache Anayejua msaada tafadhali. Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app