Natafuta dawa ya kienyeji inayoweza kutibu cancer.

Pole sana kwa kuuguza, tafuta majani ya mti wa hinna mbichi chemsha na uumpe kikombe kimoja cha chai kutwa mara tatu.
sio chungu wala tamu ila yana kauchachu kwa mbaali.

73c5f55d0b95d65de50d9d14db6bde4b.jpg

Yatafute hayo majani mara nyingi huota pembezoni mwa nyumba au bustani, fanya vile vile kuchemsha na kumpa kwenye kikombe kutwa mara tatu. sio chungu wala tamu, ni kama maji tu.

Matunda ya Mkomamanga na Stafeli kila siku awe anakula fresh au juice ingawa fresh ni vema zaidi.

Mbegu za Mlonge asiache, mtengenezeeni unga muwe mnamchanganyia kwenye uji wa lishe au chai,
Unakereketa sana na uchungu kwa mbaali, siku ya kwanza anaweza kutapika au kuharisha msiogope mpeni tu.

Good Luck.
 
Salaam wana Jf, kama nlivoeleza hapo juu yoyote anaejua dawa ya cancer anichek maana mama angu mzazi anasumbuliwa na cancer ya titi na ametumia dawa nyingi za hospital lakini sioni dalili ya yeye kupona so naombeni msaada kwa wenye dawa au kwa yoyote anae mjua mtu ambaye anaweza kuwa na dawa zinazoweza kutibu hilo tatzo.
Atumie B17 ina capsule total 180, atumie pamoja na enzymes, na vitamins, 1 capsule kwa siku.
Pili aache aina sita za vyakula uta-google utaviona, na utatafuta aina tano Muhimu za vyakula za vyakula utavitumia pamoja na hiyo dawa.
Atapona ndani ya miezi 6, kama unahitaji hiyo Dawa B17 ninayo na menu yake utapewa. contact: 0626 482 095
 
mimi nnae mtu anaejua kutibu cancer but itahitajika mgonjwa aishi kwake na mtu mmoja atakayemchagua ambaye ni ndugu,gharama ni milioni 5,atailipa baada ya kupona kabisa
 
Kule moshi kilimanjaro kuna mtu amaitwa Kokoto ametibu mamia km si maelfu ya wagonjwa na wamepona, nina ndugu na jamaa wamepona kwa dawa zake.
 
Salaam wana Jf, kama nlivoeleza hapo juu yoyote anaejua dawa ya cancer anichek maana mama angu mzazi anasumbuliwa na cancer ya titi na ametumia dawa nyingi za hospital lakini sioni dalili ya yeye kupona so naombeni msaada kwa wenye dawa au kwa yoyote anae mjua mtu ambaye anaweza kuwa na dawa zinazoweza kutibu hilo tatzo.
Mkuu ngoja nikutafutie namba za Mzee mmoja wa Mwanga Kilimanjaro. Ana dawa za asili zinasaidia zitampa mgonjwa unafuu. Mama yangu zimemsaidia hizo dawa za asili.
 
Salaam wana Jf, kama nlivoeleza hapo juu yoyote anaejua dawa ya cancer anichek maana mama angu mzazi anasumbuliwa na cancer ya titi na ametumia dawa nyingi za hospital lakini sioni dalili ya yeye kupona so naombeni msaada kwa wenye dawa au kwa yoyote anae mjua mtu ambaye anaweza kuwa na dawa zinazoweza kutibu hilo tatzo.
Mkuu Fanya umtafute bwana Deception humu atakusaidia kukupa maelekezo mazuri sana mimi nmejifunza vingi kwake
 
Subiri kufa tu cancer haitibiki
Kwani wewe utaishi milele acha kumkatisha tamaa na ujue ni mama yake ambaye anaumwa na mama ndo kila kitu and for your information cancer can be cured depends on how it reaches thru its stages
 
Salaam wana Jf, kama nlivoeleza hapo juu yoyote anaejua dawa ya cancer anichek maana mama angu mzazi anasumbuliwa na cancer ya titi na ametumia dawa nyingi za hospital lakini sioni dalili ya yeye kupona so naombeni msaada kwa wenye dawa au kwa yoyote anae mjua mtu ambaye anaweza kuwa na dawa zinazoweza kutibu hilo tatzo.
Mkuu jaribu kuingia google then tafuta blackseeds oil na maelezo yake kisha angalia kama inaweza kusaidia kumponya Mama.
pole sana Mungu ni mwema weka tumaini kwake.
 
Back
Top Bottom