Natafuta dawa ya kienyeji inayoweza kutibu cancer.

kdom

JF-Expert Member
Jan 23, 2017
238
146
Salaam wana Jf, kama nlivoeleza hapo juu yoyote anaejua dawa ya cancer anichek maana mama angu mzazi anasumbuliwa na cancer ya titi na ametumia dawa nyingi za hospital lakini sioni dalili ya yeye kupona so naombeni msaada kwa wenye dawa au kwa yoyote anae mjua mtu ambaye anaweza kuwa na dawa zinazoweza kutibu hilo tatzo.
 
Pole sana mkuu bila shaka watajitokeza wenye dawa lkn kansa kama imeshakuwa kwny stage ya mbali ni bora uendelee na hsptl tu
 
Pole sana Mkuu

Msamehe huyo jamaa aliye comment hapo Juu (Kigogo) huwezi jua thinking capacity yake ni negative kiasi gani.

Mkuu cancer inaweza kupona ila inategemea na stage na pia sometimes cancer inaponaga by miracles (mwili wake unajitahidi kupanbana na cancer day after day zaidi hata nyie mnavyojitahidi kuiponya mwili ukishinda basi atakuwa okay)

Ila pia ungewaona madaktari wa cancer wangeweza kukupa ushauri nini cha kufanya,

I'm soo sory for your mom.
 
Asante sana mkuu kwa ushauri mzur, barikiwa.
 
Pole sana mkuu kwa kuuguza. Naelewa hali unayopitia coz na mimi nauguza mgonjwa wa tatizo hili hadi sasa. Kabla matibabu ya hosp tulianza kumpa juice ya beet root, carrots na apples, wakati huo alikuwa ameshaanza kuwa na hali mbaya, maumivu makali sana. Bt hiyo juice imekuwa msaada sana, inapunguza sana uvimbe na hata maumivu na pia taratibu tatizo linakuwa linapungua. Pia mastafel ni mazuri sana.
Japo matibabu ya hosp yamemsaidia sana ila hatujabweteka, tunaendelea kumpa hiyo juice.

Dawa za tiba mbadala toka kwa watu wanaojitangaza tulinunua sana ila nyingi zilikuwa ni uongo. Tumeliwa sana pesa maeneo tofauti. Tena ukiwa na shida kama hii mtu anaona ndio mahali pa kupigia hela so kuweni makini sana, hata kama zipo basi umakini uwe mkubwa.

Pia, Zingatieni vyakula ambavyo ni mbolea ya cancer kama sukari na ngano. Hivyo asiguse kabisa na ikibidi atumie kidogo sana.
Mungu amsaidie. Poleni mkuu.
 
Salaam wana Jf, kama nlivoeleza hapo juu yoyote anaejua dawa ya cancer anichek maana mama angu mzazi anasumbuliwa na cancer ya titi na ametumia dawa nyingi za hospital lakini sioni dalili ya yeye kupona so naombeni msaada kwa wenye dawa au kwa yoyote anae mjua mtu ambaye anaweza kuwa na dawa zinazoweza kutibu hilo tatzo.
ipo kuna mama hapa Moshi anaitwa bi Apasia ana hadi wodi unakuja na mgonjwa wako una muuguza hapahapa mbaondoka akiwa mzima au unanunua dawa yake kwa 70 tshs kama upo serious ni pm nkueleze zaidi
 
Salaam wana Jf, kama nlivoeleza hapo juu yoyote anaejua dawa ya cancer anichek maana mama angu mzazi anasumbuliwa na cancer ya titi na ametumia dawa nyingi za hospital lakini sioni dalili ya yeye kupona so naombeni msaada kwa wenye dawa au kwa yoyote anae mjua mtu ambaye anaweza kuwa na dawa zinazoweza kutibu hilo tatzo.
Mimi ninaweza kumtibia Mama yako hiyo Saratani ya Maziwa aka (Breast cancer) kwa muda wa miezi 6 na akapona kabisa. Ukihitaji Tiba toka kwangu nitafute kwa wakati wako.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.

Kansa ya Maziwa.jpg
 
Salaam wana Jf, kama nlivoeleza hapo juu yoyote anaejua dawa ya cancer anichek maana mama angu mzazi anasumbuliwa na cancer ya titi na ametumia dawa nyingi za hospital lakini sioni dalili ya yeye kupona so naombeni msaada kwa wenye dawa au kwa yoyote anae mjua mtu ambaye anaweza kuwa na dawa zinazoweza kutibu hilo tatzo.
Pole sana mkuu...yupo mzee wangu mjomba wa wife wangu huwa anawapa watu dawa na wanapona...awe hajaanza kuchoma ila mionzi ya hospitali.
Kama unaona inafaa karibu pm kwa msaada ZAIDI.
Pole sana mkuu kwa kuuguza. Naelewa hali unayopitia coz na mimi nauguza mgonjwa wa tatizo hili hadi sasa. Kabla matibabu ya hosp tulianza kumpa juice ya beet root, carrots na apples, wakati huo alikuwa ameshaanza kuwa na hali mbaya, maumivu makali sana. Bt hiyo juice imekuwa msaada sana, inapunguza sana uvimbe na hata maumivu na pia taratibu tatizo linakuwa linapungua. Pia mastafel ni mazuri sana.
Japo matibabu ya hosp yamemsaidia sana ila hatujabweteka, tunaendelea kumpa hiyo juice.

Dawa za tiba mbadala toka kwa watu wanaojitangaza tulinunua sana ila nyingi zilikuwa ni uongo. Tumeliwa sana pesa maeneo tofauti. Tena ukiwa na shida kama hii mtu anaona ndio mahali pa kupigia hela so kuweni makini sana, hata kama zipo basi umakini uwe mkubwa.

Pia, Zingatieni vyakula ambavyo ni mbolea ya cancer kama sukari na ngano. Hivyo asiguse kabisa na ikibidi atumie kidogo sana.
Mungu amsaidie. Poleni mkuu.
 
Salaam wana Jf, kama nlivoeleza hapo juu yoyote anaejua dawa ya cancer anichek maana mama angu mzazi anasumbuliwa na cancer ya titi na ametumia dawa nyingi za hospital lakini sioni dalili ya yeye kupona so naombeni msaada kwa wenye dawa au kwa yoyote anae mjua mtu ambaye anaweza kuwa na dawa zinazoweza kutibu hilo tatzo.
Soma sana mtandaoni maajabu ya B17 vitamini katika kuponya kansa, imefanya Maajabu hata wamarekani waka ban matumizi yake.

Sikiliza makala nyingi YouTube namna ya kutibu kwa kutumia hii B17 , kishafuata maelekezo maana inapatikana katika matunda kama apple zaidi sana mbegu ya tunda la apricot ambalo limejaa Iringa.

Au soma wonders of apricot on cancer curing

Wonders of B17 on curing cancer google izo vitu, hata wanaotibu Tanzania wanatumia hizihizi ndio siri.

Mungu amjalie mama yako afya na uzima, zaidi ya yote Daktari na engeneer mkuu wa mwili wa mwanadamu ni Muumbaji wetu Mungu wa mbinguni

Usiache kumwambia haja zako kila wakati.

Kila la Kheri.
 
Back
Top Bottom