Natafuta Data Cabinet 9U

Natafuta Data Cabinet 9U

ng'wanankamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
346
Reaction score
121
Wadau, natafuta data cabinet 9U piece 3 kwa ajili ya Cisco switch za port 48. Mind u, switch za cisco urefu wa kuingia ndani ni mkubwa kuliko za d-link. nimejaribu za 600x450 lakini naona hazifit, kama kuna mtu ana 9U 600x550 anipm akitaja na bei for@.
 
Back
Top Bottom