Natafuta dalali wa kuniuzia mbwangu

Natafuta dalali wa kuniuzia mbwangu

flafy

Member
Joined
Dec 2, 2017
Posts
41
Reaction score
11
Nina mbwa wa kizungu aina ya maltese hivyo natafuta dalali wa kunitafutia soko nichek kwa number hii kwa mawasikiano zaidi 0719708708 whatsup.
 
weka picha na maelezo ya kutosha ss!? unaweza pata wateja humu humu...
 
Niliposoma fasta nikaona kama umeandika 'mbwagu'

Wasafwa wanaita ebwagu yani bisi za mahindi
 
Nina mbwa wa kizungu aina ya maltese hivyo natafuta dalali wa kunitafutia soko nichek kwa number hii kwa mawasikiano zaidi 0719708708 whatsup.
Mkuu ungepata dalali Mkoa wa Iringa ingekua poa sana aisee
 
7969eeef1faf2de6ebb4c3b6eff6b12e.jpg
40b23da4d299696539736a1e9a243c61.jpg
e20e60207731ca3378334c23c9ecf7f3.jpg
cc211a5aac03c2361854846c3903c050.jpg
19e8627d545989daaa0bd37803067cf4.jpg
 
Bei laki nne ila dalali uje inbox tuyajenge vizur
 
duu mzuri huyo ,hivi huyu ni wa ulinzi au show tuu ?
 
Back
Top Bottom