Natafuta dada wa hiari

Aisee usijali utapata!
Umenikumbusha jamaa mmoja alisema "if it..."
Ngoja nikuitie dada yako Evelyn Salt..
 
Last edited by a moderator:
Shida ni lugha tu..ningekupetipeti mdogo wangu.
 

aisee jitahidi awe si zaidi ya mmoja maana wakiwa wengi kwa story zao za kimbea na mambo mengine ya kidada-dada wanayohadithiana, la!, utaharibikiwa kuliko hapo ulivyo!
ila sheng lako funika bovu lazima wakuzimie mbaya.
kwani mkuu we ndio unamwandikia mwamba wa kaskaz mistari?, kwani mistari yako 6$ kama jnature!
 
Ha_ha_ha siijui hiyo kalamu jomba, Joh anaandikia bic.But thanx kw ushauri big up bredda.
U made me happy pleo #pleo
 
Last edited by a moderator:

Apa umepata dada wa hiari nipo ni PM
 
una kipato isije ikawa unatafuta dada wa hiari wa kuwa unampiga mizinga
 
jibu swali na bigdada hapo juu kisha uniamkie kama dada yako.

bigdada kaua bendi kwa mleta uzi. hahaha, sasa wewe si unanipeti-peti bure jamani? au ndo unataka wa kumpeti-peti kwa malipo? shikamoo dada mkubwa
 

Her adopted brother.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…