Umri wangu ni kati ya miaka 35 na 45 pato langu kwa mwaka ni kati ya tsh 30m na 60m natamani kupata dada/mama ambaye hataona shida kupata nae mtoto moja tu.
Nataka atakeyependelelea awe na kazi yake ya kujiingizia kipato.
Mali za harakaharaka hizi,mtakufa siku sii zenu.Kafara umewamaliza ndg zako woote?au umeambiwa upeleke wa Damu yako.miaka 40 kasoro mwanaume huna hata wa kusingziwa? Maajab.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.