Natafuta Corona Premio,isiwe engine D4.

Natafuta Corona Premio,isiwe engine D4.

MTAMBOKITAMBO

Senior Member
Joined
Jun 2, 2011
Posts
194
Reaction score
39
Wadau umefikia wakati na mimi niachane na kutu za daladala za mjini.Sasa kwa yeyote anayeuza Corona Premio na engine isiyo D4,naomba ani PM tufanye biashara.
Gari iwe kwenye hali nzuri tafadhali na BEI ISIZIDI 7MIL!
P.S-Kama unauza zaidi ya 7mil,tafadhali usinitafute wala usipost hapa,maana itakuwa ni usumbufu tu kwa wote.
Cheers!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom