Natafuta connection kwa watu wa Maendeleo ya Jamii

Natafuta connection kwa watu wa Maendeleo ya Jamii

smoerishi

Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
14
Reaction score
30
Habari wapendwa,

Natafuta watu wanaojihusisha na masuala ya maendeleo ya jamii ili tuweze kupeana connection za kazi. Hata kwa wale waliosoma vyuo vya serikali za mitaa Kama Hombolo, tupeane link za group Kama Kuna magroup yapo WhatsApp.

Asanteni
 
Back
Top Bottom