Wana JF wenzangu,
mimi huwa sipost sana threads huku, kuna jambo ambalo kuna kidogo linanitatiza, nimefika Munster wiki iliyopita na nitakuwepo kwa wiki mbili, kampani ndio inanipa shida, sijaweza kukutanan mtu yeyote wa nyumbani Tz kama kuna mtu yeyote ambaye ni mwenyeji kidogo naomba tuwasiliane niweze kufahamu mji. Tunaweza kuwasiliana kwa no. 0179-5735752. I will truly appreciate, ahsante.
Munster ndio wapi huko Mkuu? ila Mutafute Kongosho ndie mpenda kutembeza wageni kwa sana ila Pochi uwe nalo la kutosha manake anapenda sana Shopping
Imekaa kijerumani fulani hivi huyu kama vile ndio hakujui na anauza hiyo kitu lazima akuchome tuHuyu kama vile anauza madawa ya kuvuvuzelisha.
Afu namba yake ya Amerikani au Japanizi? Au mobitel kaamua kuipaisha tu
Jamani watz wakati mwingine tuwe serious, Munster iko germany, na niko serious na msg yangu, habari ya madawa inatoka wapi? Kama unaona hii msg haikuhusu we potezea tu
Kuna Mtu anaitwa Lusingu Mtafute atakuonesha mji ila hali ugali huyoHuyu kama vile anauza madawa ya kuvuvuzelisha.
Afu namba yake ya Amerikani au Japanizi? Au mobitel kaamua kuipaisha tu.
Jamani watz wakati mwingine tuwe serious, Munster iko germany, na niko serious na msg yangu, habari ya madawa inatoka wapi? Kama unaona hii msg haikuhusu we potezea tu
Huyu kama vile anauza madawa ya kuvuvuzelisha.