poposindege
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 456
- 175
Una Bei Gani Nikuelekeze Kinapopatikana
Yaan unatak akulip kwaajil ya kumuelekeza.?Una Bei Gani Nikuelekeze Kinapopatikana
Habari wadau kama kichwa cha Habari
kinavyosomeka hapo juu.
Kuna rafiki yangu ameniomba nimtafutie Combo TV Box.
Mimi sijui kwa sasa nitapatia wapi hivyo nimeamua kuja humu
jukwaani ili niweze kupata msaada nimsaidie.
Wadau naomba msaada wenu wapi kifaa hicho kina
patikana na kwa kiasi gani.
Natanguliza shukrani
Ilisha Elezwa kuwa kombo box, imepata mwezake ambae NI Q28G ambayo inapatikana humu jf na utendaji wake sawa kabisa na hiyo:: Ukianza kulipa watakao kuelekeza zinakouzwa mwisho utawapa fedha Wakakununulie na UTALIA.
Jamani msaada wenu ekekezeni hiyo combo wapi zinzpatikana!!!
Unamaanisha hizi Android TV boxes zinazokua Pre loaded na IPTV channels?Habari wadau kama kichwa cha Habari
kinavyosomeka hapo juu.
Kuna rafiki yangu ameniomba nimtafutie Combo TV Box.
Mimi sijui kwa sasa nitapatia wapi hivyo nimeamua kuja humu
jukwaani ili niweze kupata msaada nimsaidie.
Wadau naomba msaada wenu wapi kifaa hicho kina
patikana na kwa kiasi gani.
Natanguliza shukrani
Ninazo Q28G , Soma maelezoyake kwenye post namba moja hapa: bit.ly/MWLRCT
Ambayo pia imezungumziwa hapa : https://www.jamiiforums.com/tech-ga...wa-fta-television-chanels-7.html#post12394965
Kama upo dar utaelekezwa wapi kwa kuchukua, Kama upo mkoani utamtuma ndugu au jamaa yako akuchukulie, Ikishindikana utatumiwa kwa njia ya basi.
Mawasiliano: 0784 496 856
bei n kias gan hyo Q.sat 28 mwl