Natafuta co-founder

Natafuta co-founder

jesse07

New Member
Joined
May 12, 2025
Posts
3
Reaction score
7
Habari wakuu,

Nina platform ya online shopping ambayo tayari ipo hewani — kwenye website, Android na iOS. Tayari imekamilika kimuundo, na sasa natafuta mtu wa kuungana nami kama co-founder ili tusonge mbele pamoja.

Nahitaji mtu ambaye ataweza kuchangia kwa kiasi fulani (either kifedha au nguvu kazi) halafu tusajili kampuni pamoja na kugawana hisa kwa makubaliano yetu. Tuko kwenye hatua za mwanzo kabisa, so this is a great time kuingia.
 
Mtafte Bishoo.com ypo umu JF atakup usaidiz ndo mmbo yke aya. Sahv pambania marketing kwanz
 
Habari wakuu,

Nina platform ya online shopping ambayo tayari ipo hewani — kwenye website, Android na iOS. Tayari imekamilika kimuundo, na sasa natafuta mtu wa kuungana nami kama co-founder ili tusonge mbele pamoja.

Nahitaji mtu ambaye ataweza kuchangia kwa kiasi fulani (either kifedha au nguvu kazi) halafu tusajili kampuni pamoja na kugawana hisa kwa makubaliano yetu. Tuko kwenye hatua za mwanzo kabisa, so this is a great time kuingia.
Weka namba ya simu nikucheki. This might be a deal
 
Habari wakuu,

Nina platform ya online shopping ambayo tayari ipo hewani — kwenye website, Android na iOS. Tayari imekamilika kimuundo, na sasa natafuta mtu wa kuungana nami kama co-founder ili tusonge mbele pamoja.

Nahitaji mtu ambaye ataweza kuchangia kwa kiasi fulani (either kifedha au nguvu kazi) halafu tusajili kampuni pamoja na kugawana hisa kwa makubaliano yetu. Tuko kwenye hatua za mwanzo kabisa, so this is a great time kuingia.
Hapo itabidi uhitaji watu sio mtu.
 
unatakiwa uweke maelezo ya hio idea, picha mtu aamue
 
Wizi wa idea. Mtu kama mchina akipata hints tu kesho unaiona software. Trust no body. Mie mwenyewe nina project 5 naziendeleza, project 3 ni kubwa sana AI amenishauri niunde team, sasa nani wa kumuamini au wa kujitolea ! Ukiamua umdokeze tu mtu ndio unaweza kuwa mwisho wa project yako. Mwafrika ni mtu asieaminika kabisa.
For you own risk weka wazi peoject yako hapa ulie.
 
hata ndugu sio wa kumuamini pia
 
Wz

Wizi wa idea ? Idea bila pesa 😂
 
Wz

Wizi wa idea ? Idea bila pesa 😂
Nakipa hii.Nilipokuwa naa za maisha nilikutana na fundi selemala mmoja alikuwa ananiundia asset baadae akawa rafiki yangu. Akanidhauri ule mji hauna mashine ya kukeleza hivuo niinunue niiweke pale workshop. Moe nolikuwa na rafiki yangu meingine mtumish wa uma, kwa kuwa nmarafiki hudokezana mambo nami nakamdokeza.
Ebanaaee alienda bank kimya kimya akachukua mkopo akanunua ile mashine akaiweka kwenye ule mji. Baada ya kukamilika akaenda kunipeleka workshop ilipo. But mungu si Abdala mradi ulifel miserable akauuuza.
Kwa hio huwezi nipanga mkuu wabongo mawajua vizuri mie siwezi anika adea yangu labda tuingie mikataba.
Hicho kituo cha kusajili ideas chenyewe watu wameishapigwa sana. Umesahau AZAM na idea ya VITASA.
Bora idea yangu ife sio mtu akatajirike tu kiulaini. Mungu akupe kipawa wewe uwe masikini mwingine atajirike. HAPANA!
 
Wewe bado unashindwa kuelewaa sawa kuna vitu unaweza kuprotect idea yako kama ni unique sana na ya taaluma kubwa ila nyingine mfano kuhusu software saiv ukipata Good software engineering wanafanya tu hafu wazo lako kuna wengine wanalo wanalifanyia kazi mshindi anaeanza sio anaetunza idea hakuna kipya dunia hii watu wanaboreshaa tu..
 
Sasa shopping platform ni idea mpya?
Ni mshamba mimi niliwah kua top 10 ya startup kugombeaa tuzo tupate wawekezaji ikashindikana ni ilikua kuhusu food delivery baade naona uberEat, doordash zinakiwasha ila still kama una vision usiogope competition we anza tu.. ndo nikatambua kupata network ya investor. Kuwekeza bongo bado still tuna lack investor. Wenye ukwasii
 
Wizi wa idea. Mtu kama mchina akipata hints tu kesho unaiona software. Trust no body. Mie mwenyewe nina project 5 naziendeleza, project 3 ni kubwa sana AI amenishauri niunde team, sasa nani wa kumuamini au wa kujitolea ! Ukiamua umdokeze tu mtu ndio unaweza kuwa mwisho wa project yako. Mwafrika ni mtu asieaminika kabisa.
For you own risk weka wazi peoject yako hapa ulie.
kwamba ecommerce ndo idea ya kuiba? 🤣
 
kwamba ecommerce ndo idea ya kuiba? 🤣
Sasa lama sio ya kuiba mbona watu wanataka maelezo, ya nini?
Kwani hio E commerce kila mtu anaweza kuitekekeza iwe app ? Si inahitaji ubunifu kuiunda au unaunda kama stuli?
Ingekuwa mambo ni simple hivyo yangejaa ma app kama Amazon, Aliexpress nk, mbona hizo app hazipo za kutosha huku kwetu kama ni simple.
Basi kama ni simple unda ya kwako upige mihela ya ku download.
 
Nakipa hii.Nilipokuwa naa za maisha nilikutana na fundi selemala mmoja alikuwa ananiundia asset baadae akawa rafiki yangu. Akanidhauri ule mji hauna mashine ya kukeleza hivuo niinunue niiweke pale workshop. Moe nolikuwa na rafiki yangu meingine mtumish wa uma, kwa kuwa nmarafiki hudokezana mambo nami nakamdokeza.
Ebanaaee alienda bank kimya kimya akachukua mkopo akanunua ile mashine akaiweka kwenye ule mji. Baada ya kukamilika akaenda kunipeleka workshop ilipo. But mungu si Abdala mradi ulifel miserable akauuuza.
Kwa hio huwezi nipanga mkuu wabongo mawajua vizuri mie siwezi anika adea yangu labda tuingie mikataba.
Hicho kituo cha kusajili ideas chenyewe watu wameishapigwa sana. Umesahau AZAM na idea ya VITASA.
Bora idea yangu ife sio mtu akatajirike tu kiulaini. Mungu akupe kipawa wewe uwe masikini mwingine atajirike. HAPANA!
Mkuu njia nzuri ni ipi? Kulinda project za watoto wa maskin waliosota Hadi kuiweka idea kwenye hewa au hata kuiandaa tu halafu anatokea fara mmoja anaiiba ama kukopi ,, au yoyotee anaetaka kuja kua co founder na wewe hata kuongea na wewe akisema umuelezee project ilivyo basi muingie mkataba wa kisheria kabisa ..
 
Wewe bado unashindwa kuelewaa sawa kuna vitu unaweza kuprotect idea yako kama ni unique sana na ya taaluma kubwa ila nyingine mfano kuhusu software saiv ukipata Good software engineering wanafanya tu hafu wazo lako kuna wengine wanalo wanalifanyia kazi mshindi anaeanza sio anaetunza idea hakuna kipya dunia hii watu wanaboreshaa tu..
Sawa ila approach zitatofautiana tu.Sidhan kama Amazon inalingana na Alibaba. Sio kIla idea ipo kwa kila mtu. Hakuna jipya chini ya jua ila kuna innovation mpya.
Ideas duniani hazijaisha ndio maana kila kukicha ginazinduliwa vitu vipya.
Halafu innovation na invention ni kipaji anapewa mtu na mungu, hivyo usije dhani invention zitaisha provided binadamu wapo.
 
Ni mshamba mimi niliwah kua top 10 ya startup kugombeaa tuzo tupate wawekezaji ikashindikana ni ilikua kuhusu food delivery baade naona uberEat, doordash zinakiwasha ila still kama una vision usiogope competition we anza tu.. ndo nikatambua kupata network ya investor. Kuwekeza bongo bado still tuna lack investor. Wenye ukwasii
Mkuu bongo hii watu wanapiga bilioni 30 za uwanja tu hakuna mainvesta wenye fwedha?
 
Back
Top Bottom