Natafuta chupa tupu za wine

saasita

Senior Member
Joined
Aug 10, 2017
Posts
119
Reaction score
62
Ni mjasiriamali msindikaji wa wine mbalimbali natafuta chupa tupu (mpya) za kuhifadhia bidhaa yangu ili kuiongezea thamani .

Aina ya chupa ninazohitaji ni zile zilizowekwa nakshi (electroplated) nimejaribu kupitapita madukani ila sijafanikiwa kuzipata nimejaribu pia mtandaoni nimeziona ila kikwazo ni idadi ya chini nayotakiwa kuagiza..

Idadi ambayo ni kubwa kulingana na mtaji wangu naomba msaada wapi naweza kuzipata chupa hizi hapa tanzania.
 
Ninazo 20. Kila moja 1000 kama upo tayari njoo kwa ndevu tegeta
 
1. Nenda sido kanunue zile zile za sido ila graphics iwe nzuri, mtaji ukikua unaagiza mwenyewe

2. Tafuta MTU anaetengeneza wine (wapo kibao) then mchangie muagize wote.
 
1. Nenda sido kanunue zile zile za sido ila graphics iwe nzuri, mtaji ukikua unaagiza mwenyewe

2. Tafuta MTU anaetengeneza wine (wapo kibao) then mchangie muagize wote.
shukrani sana ntafanya hivyo
 
Natafuta chupa za glass kuweka vodka 0629-226-514 nipo ubungo riverside
 
Nilidhani chupa za wine used...ninazo lundo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…