VETA itafaaNimemaliza form 4 nimepata dvs 4 ya 30 nna falled mathematics na English .swali naweza soma electrical installation chuo chochote dar es salaam naomba msaada wakubwa kwa
Ndiyo, Unaweza kusoma hiyo fani ya Umeme iwapo Utapitia VETA.Nimemaliza form 4 nimepata dvs 4 ya 30 nna falled mathematics na English .swali naweza soma electrical installation chuo chochote dar es salaam naomba msaada wakubwa kwa
Nenda VETA Dar..!!Nimemaliza form 4 nimepata dvs 4 ya 30 nna falled mathematics na English .swali naweza soma electrical installation chuo chochote dar es salaam naomba msaada wakubwa kwa
Chang'ombe pale, si ndio?Nenda VETA Dar..!!
Yes.Chang'ombe pale, si ndio?
Asante sana mkubwa nikipitia veta naweza nikawa mpka na degree ya umeme mkubwaNdiyo, Unaweza kusoma hiyo fani ya Umeme iwapo Utapitia VETA.
Muhimu angalia Vyuo vya Ufundi kwenye eneo ulipo then utume maombi ya kujiunga.
Kama nafasi itakuwa Finyu hapo DSM, Nenda hata Vyuo vya Veta vya Mikoani ili utimizie ndoto yako.
Hongera umechagua Fani nzuri ya kusomea, huku nilipo Kumpata Fundi kwaajili ya Wiringi ya Nyumba imekuwa kazi kidogo hasa kwa Nyumba ambazo zima Ramani, Mafundi wengi hawana Ujuzi wa kusoma ramani na ku-Implement.
Uko sahihi, utaweza kusoma hadi kufikia level ya NTA level 8 ambayo equivalent na Bachelor DegreeAsante sana mkubwa nikipitia veta naweza nikawa mpka na degree ya umeme mkubwa
Nenda veta iliyo karibu na wewe kachukue form zilisha toka kitambo.Mitihani ya kujiunga na intake ya January itafanyika mwezi wa kumi mwaka huu.Nakushauri chukua long course ya miaka mitatu na baada ya hapo unaweza kuendelea ngazi ya diploma na baadae bachelor degree...!Kila lakheli...!Asante sana mkubwa na maombi ya kujiunga kwa long course wanaotak kusoma mwakani yanaanza ln na mwisho lini mkubwa msaada na chuo Gani kwa iyo kozi